Soma Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada Mwaka 2013/2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 30, 2013

Soma Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada Mwaka 2013/2014.

 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
Dr.Shukuru Kawambwa.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuowalivyopangiwa tarehe 15/08/2013.


Fomu ya maelekezo (joining instruction) itatumwa kwa mhusika kupitia anuani yake. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenyetovuti hii  kwa kubofya katika link ya Chuo husika. 

Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:

1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika;

2. Ada ya muhula wa kwanza sh.100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
 3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na

4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.


Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.

Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo utafungwa tarehe 25/08/2013 saa 12.00 jioni.


Fomu za Maelekezo (Joining Instructions) 



1. Bunda TC


2. Bustani TC


3. Butimba TC


4. Dakawa TC


5. Ilonga   TC


6. Kabanga TC


7. Kasulu TC


8. Katoke TC

9. Korogwe TC


10. Klerruu TC

11. Kinampanda TC


12. Mandaka TC


13. Marangu TC


14. Monduli TC


15. Mtwara (K) TC


16. Mtwara (U) TC


17. Mpuguso TC


18. Morogoro TC


19. Mhonda TC 


20. Murutunguru TC


21 Mpwapwa TC 


22.  Ndala TC 


23. Patandi TC


24. Kitangali TC


25. Nachingwea TC


26. Tandala TC


27. Tabora TC


28. Sumbawanga TC


29. Shinyanga TC


30. Singachini TC


31. Songea TC


32. Tarime TC


33Tukuyu TC


34. Vikindu TC 



ZAIDI BOFYA HAPA -  http://www.moe.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1704:waliochaguliwa-kujiunga-na-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-cheti-na-stashahada-mwaka-20132014&catid=1:latest-news


        

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad